KANANURA SCHOOLS INAKUKUMBUSHA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA KWA KUFUATA USHAURI NA MAELEKEZO YANAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA NA WADAU MBALIMBALI WA AFYA. KANANURA SCHOOLS – Education is my right

HOLIDAY PACKAGE

OUR SCHOOLS / SHULE ZETU

NURSERY SCHOOL

Tunatoa elimu ya awali/chekechea kwa watoto kuanzia miaka minne hadi sita. Mafunzo yanatolewa kwa lugha ya kiingereza.

PRIMARY SCHOOL

Tunatoa elimu ya shule ya msingi kuanzia Darasa la kwanza hadi la saba. Nafasi za Kujiandikisha na Kuhamia zipo.

SECONDARY SCHOOL

Tunatoa elimu ya Sekondari kuanzia Kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Nafasi za Kujisajili na Kuhamia zipo.

UBAO WA MATOKEO

Weka Email ili Uwe wa Kwanza Kupata Taarifa Zetu